Genesis 48:1

Manase Na Efraimu

1 aBaada ya muda Yosefu akaambiwa kwamba, “Baba yako ni mgonjwa.” Kwa hiyo akawachukua wanawe wawili Manase na Efraimu, pamoja naye.
Copyright information for SwhNEN